Pata bonasi ya bure ya Zeppelin
Cheza Zeppelin na Pata Mizunguko ya Bure
Masharti na Vigezo
Bonasi ya Zeppelin Drop ni kiasi cha bonasi ya bure na inapatikana kwa wachezaji wote.
Bonasi ya Zeppelin itatolewa nasibu, hadi mara 24 kila siku.
Ili kufaidika na bonasi hii mchezaji lazima awe katika mchezo, akicheza.
Bonasi itatolewa kwa idadi ya bahati nasibu ya wachezaji wenye bahati, kila inaposhuka.
Kiasi kilichopokelewa lazima kichezwe (kiwekezwe) angalau mara moja kabla ya kuondolewa.
Kwa uwekezaji, wachezaji wanaruhusiwa kucheza kiasi chote mara moja, au kugawanya katika raundi kadhaa kiasi sawa na bonasi.
Bonasi ya Zeppelin haiwezi kuondolewa mpaka masharti ya uwekezaji yatimie.
Sokabet ina haki ya kufuta bonasi au kutaka kurudia uwekezaji kwa kiasi cha bonasi endapo kuna shaka ya matumizi mabaya ya bonasi.
Sokabet ina haki ya kubadilisha masharti na vigezo au sheria wakati wowote bila taarifa ya awali.