Ligi Kuu ya Sokabet
Mechi Kubwa! Nafasi Kubwa! Kila wiki.
3 nafasi katika kila uteuzi. Imeboreshwa!
Vigezo Na Masharti
1. Ofa hii inapatikana kwa wachezaji wote wanaoweka dau kwenye michezo.
2. Pale inapopatikana, matukio ya Sokabet ligi kuu yataorodheshwa kwenye kitabu cha michezo cha Everymatrix.
3. Ofa hii itakuwa na matukio makubwa ambayo hayachezwi uwanjani, lakini yatakuwa na matokeo ya matukio yaliyochezwa. Kwa mfano:- Tukio 1: Real Madrid vs Osasuna Matokeo 2:2 Tukio 2: Bayern Munich vs Werder Bremen Matokeo 1:0 Tukio la ligi kuu la Sokabet: Real Madrid vs Bayern Munich Matokeo 2:1
4. Matukio yatakuwa na nafasi zilizoboreshwa za 3-3-3. Kwa uteuzi wowote kwenye tukio la ligi kuu la sokabet utapata nafasi tatu.
5. Inaruhusiwa kuweka dau na kuchanganya tukio na mechi zaidi kutoka ligi tofauti.
6. Sokabet ina haki ya kufuta mapato iwapo kuna shaka ya matumizi mabaya ya ofa, dau zinazopingana, au dau za uhakika.
7. Sokabet ina haki ya kubadilisha vigezo na masharti au sheria na zawadi za ofa au kubatilisha wakati wowote bila taarifa zaidi.